kutuhusu sisi


kutuhusu sisi

Sisi ni CHOMOZA, kampuni ya Kitanzania inayotoa huduma za kuuza na kukuza masoko ya bidhaa na huduma kitaalamu. Tunafanya kazi na wenye biashara ndogo, za kati na kubwa wanaouza bidhaa au hutoa huduma aina tofauti tofauti ambao wanataka kukuza biashara zao zaidi ya ilivyo sasa kwa kuuza zaidi na kukuza masoko ya bidhaa au huduma zao.